Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli

Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli

Dira na Dhima

Dira

"Kuwa Mdhibiti wa Petroli wa kiwango cha Ulimwengu. Kusimamia kwa busara rasilimali za mafuta ya Petroli nchini kwa faida ya vizazi vya sasa na vijavyo."

Dhima

"Kusimamia shughuli za mkondo wa juu wa petroli kwa uwazi, ufanisi na ubora na kuchangia katika kuboresha ustawi wa jamii na uchumi wa Watanzania."